Search

1582 results for Tatu Mohamed :

  1. PRIME Kishindo cha Kimbunga Hidaya

    Upepo mkali ulivuma usiku kucha wa jana na leo asubuhi maeneo ya Dar es Salaam, Lindi, Mtwara na Pwani hususan Kisiwa cha Mafia na inadaiwa nyumba 30 hadi 50 zimeathiriwa

  2. Baba jela miaka 30 kwa kumpondaponda nyeti mtoto wa kufikia

    Mahakahama ya Hakimu Mkazi Morogoro imemuhukumu kifungo cha miaka 30 jela Mohamed Omary Salange (37), baada ya kumkuta na hatia katika kosa la ukatili dhidi ya mtoto wake wa kufikia, mwenye...

  3. PRIME Mkurugenzi wa zamani ZBC ambwaga tena DPP kortini

    DPP katika sababu zake nne za rufaa, alikuwa anadai kuwa Jaji aliyewaachia alikosea kisheria alipohitimisha kuwa Mitawi na mwenzake hawakuwa wamefanya biashara yoyote ya uuzaji magari katika eneo...

  4. Mahakama ya Rufani yabainisha kasoro kesi mikopo mibaya

    Rufaa hiyo ilipangwa kusikilizwa Jumanne, Aprili 30, 2024 na jopo la majaji watatu wa Mahakama ya Rufani, Rehema Mkuye (kiongozi wa jopo), Abraham Mwampashi na Zainabu Muruke.

  5. Mgunda aanza na sare Simba

    KAIMU Kocha Mkuu wa Simba SC, Juma Mgunda, ameanza majukumu yake ndani ya kikosi hicho kwa kuambulia sare katika mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Namungo FC. Mchezo huo uliochezwa leo kwenye Uwanja...

  6. PRIME Mageuzi 13 ya Tamisemi kwenye elimumsingi

    Bajeti ya Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), imepitishwa na wabunge huku fedha ya bajeti zikiongezeka.

  7. Afrika yatakiwa kupunguza gharama huduma za afya

    Kitita cha PEN-PLUS ambacho kitashughulika na maradhi ya selimundu, kisukari aina ya kwanza na tatizo la moyo kwa watoto, ni mpango wa nchi za Afrika kukabiliana na magonjwa yasiyoambukiza.

  8. Dar, Mwanza, Kilimanjaro zaongoza saratani ya mlango wa kizazi

    Akizungumza leo Ijumaa, Aprili 26, 2024 katika mkutano na viongozi wa dini uliolenga kutoa elimu kuhusu chanjo ya HPV, Meneja Mpango wa Chanjo wa Taifa, Dk Florian Tinuga amesema utafiti huo...

  9. Mvua yakwamisha mahudhurio ya wananchi sherehe za Muungano

    Sherehe hizo zinazoendelea kufanyika katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam, hadi saa 4:50 asubuhi ya leo imeshuhudiwa idadi ndogo ya wananchi katika majukwaa ya uwanja huo

  10. PRIME Kisa cha Onana, Benchikha Simba

    Hatimaye sababu ya kocha wa Simba Abdelhack Benchikha kumzuia Willy Esomba Onana kupiga penalti imefahamika.

Page 1 of 159

Next